Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

D

DeletedMember281674

Guest
Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake.

Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa ngazi za juu za Mkoa.

Haya tusubiri tuone hiyo kesho na igizo lao fake watakalokuja nao, wananchi muwe tayari kupokea igizo hilo wiki hii.

Nawasilisha
 
😁😁😁😁😂😂😂😂😂
 
wataumbuka halafu ndio itakuwa akili ya aliyewatuma imeishia hapo
 
Kwahiyo watamkamata Kitima na kimpa kesi isiyo na dhamana. Let us wait and see! Mwenye uwezo amtaarifi Kitima kuwa wanamwinda kwa script hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…