Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

Vigango feki visivyoweza kuwa verified?!..mbona hiyo cheap,njoo na uwongo mwingine
Hawana shida ya kitunga uwongo Ili kumkamata kitima, sababu ya kweli ipo
 
Think tank wenyewe ni kina Lucha, hivi unategemea kuna kitu cha maana kweli kitapatikana hapo.?
We endelea kubwabwaja hukuhuku mtandaoni ila usijaribu kufanya yale maandamano yenu uchwara ya kihalifu ya wizi na uharibifu wa mali maana kipigo utakachokutana nacho ni cha mbwa koko
 
We endelea kubwabwaja hukuhuku mtandaoni ila usijaribu kufanya yale maandamano yenu uchwara ya kihalifu ya wizi na uharibifu wa mali maana kipigo utakachokutana nacho ni cha mbwa koko
Wakati huo wewe na mama yako mmejifungia ikulu hata kuwa na wananchi mnashindwa. Kama unadhani hii miaka mitano itakuwa rahisi kwenu wewe bado ni kiazi, edelea kushibisha tumbo kwa hivyo visenti.
 
Wakati huo wewe na mama yako mmejifungia ikulu hata kuwa na wananchi mnashindwa. Kama unadhani hii miaka mitano itakuwa rahisi kwenu wewe bado ni kiazi, edelea kushibisha tumbo kwa hivyo visenti.
Kama unadhani unaweza kuleta ugumu wowote kwenye utawala jaribu sasa hivi kutoka nje tukunyooshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…