Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

Kama unadhani unaweza kuleta ugumu wowote kwenye utawala jaribu sasa hivi kutoka nje tukunyooshe.
Unadhani ugumu utaletwa hivi ukauona kwa akili kisoda ulizonazo mkuu, it'll get tougher kadri siku zinavyoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…