Script ya makocha wazawa wa Tanzania katika tathimini ya mechi

Script ya makocha wazawa wa Tanzania katika tathimini ya mechi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.

1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu.....

2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah

3. Mpira una matokeo matatu...

4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
 
Kwani wazungu Huwa wanasemaje?

Watanganyika mnapenda kujibeza
 
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.

1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu...
Ni kweli ulichosema lakini hata wazawa wapo wanazungumza kiufundi na sio bla bla mfano ni kocha wa prison na kocha wa Geita.
 
Binafsi ni kocha na mara nyingi huwa lazima nianze hivyo ndio napata flow nzuri
Ukiangalia namna wachezaji wakichemka Wanavyokutana uwanjani na wakatoka salama lazima uanze kwa kumshukuru Mungu
 
Wewe ni mwanaume ndo mana nmeona nikwambie wewe
Tumejitahidi kufanya tuwezalo ila jitihada zetu hazikutosha
Nasikitika kuwapa taarifa mgonjwa wetu hatupo naye tenaa....
 
Sio makocha tu. Hata ma Captain na waxhezaji wana lugha zao maalumu huwezi acha kuzisikia. Angalia wachezaji hata post zao Instagram caption utakula ni zilezile tu
 
Sio makocha tu. Hata ma Captain na waxhezaji wana lugha zao maalumu huwezi acha kuzisikia. Angalia wachezaji hata post zao Instagram caption utakula ni zilezile tu
Wachezaji na captains labda wanakaririshwa mambo common ya kusema ili wasiropoke wakaharibu, maana na presha ya mchezo ,au kudhulimiwa unaweza kuropoka
 
Back
Top Bottom