Ni kweli ulichosema lakini hata wazawa wapo wanazungumza kiufundi na sio bla bla mfano ni kocha wa prison na kocha wa Geita.Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.
1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu...
Wachezaji na captains labda wanakaririshwa mambo common ya kusema ili wasiropoke wakaharibu, maana na presha ya mchezo ,au kudhulimiwa unaweza kuropokaSio makocha tu. Hata ma Captain na waxhezaji wana lugha zao maalumu huwezi acha kuzisikia. Angalia wachezaji hata post zao Instagram caption utakula ni zilezile tu