"Scrotal massaging increases sperm count and sperm reabsorption"
Ukifanya massaji ya korodani kunaongeza sperm count kwa kupunguza congention katika vimirija ambako sperm zinatengenezwa, hii itamsaidia mhusika kuwa na sperm nyingi zenye afya, si hivyo tu bali pia massaji ya korodani inasaidia reabsorption of unused sperm, hii inamaana kuwa kipindi ambacho hukojoi (kupiga bao) sperm ambazo zimetengenezwa zina nyonywa ndani ya mwili kwa matumizi mengine. Hivyo kukufanya uwe mwanaume mwenye furaha na amani wakati wote.
Source- Tao of sex wisdom/sexual reflexiology na Mult orgasmic man.