Scrub yakahawa na mafuta original ya nazi

Lis

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
471
Reaction score
347
Hello wapenda urembo, Kuna mtu aliyewahi kutumia scrub ya mafuta ya Nazi original pamoja na kahawa?

Nimeambiwa kuwa Ni nzuri, lakini Mimi uso wangu ni was mafuta so iniletea rashes,lakin watumuaji wananambia niendelee tu kutumia iso utakaa vizur, mwenye uelewa naomba anijuze tafadhal
 
Chukua kahawa na ung a wa mchele ulainishie na maji ya limao

Kabla ya kuapply massage uso wako na maji uvuguvugu

Ukimaliza kuscrub jipake maziwa fresh
 
Tumia ganda la ndizi mbivu, ile sehemu ya ndani ya ganda sugua usoni hadi asubuhi, usafishe, tumia wiki 2 halafu tunza ID yangu unipe mrejesho. Ukiwa na swali karibu
Hello wapenda urembo, Kuna mtu aliyewahi kutumia scrub ya mafuta ya Nazi original pamoja na kahawa?

Nimeambiwa kuwa Ni nzuri, lakini Mimi uso wangu ni was mafuta so iniletea rashes,lakin watumuaji wananambia niendelee tu kutumia iso utakaa vizur, mwenye uelewa naomba anijuze tafadhal
 
Jamani mwenye kujua sure means za kuondoa cellulite yoteee akuje hapa.

Ni shidaaaa.
 
I like but kusugua unaanza sa ngap. Na mda wa kumaliza

Back
Top Bottom