Hello wapenda urembo, Kuna mtu aliyewahi kutumia scrub ya mafuta ya Nazi original pamoja na kahawa?
Nimeambiwa kuwa Ni nzuri, lakini Mimi uso wangu ni was mafuta so iniletea rashes,lakin watumuaji wananambia niendelee tu kutumia iso utakaa vizur, mwenye uelewa naomba anijuze tafadhal
Naanza saa ngapi usiku nikeshe nikisugua? πππTumia ganda la ndizi mbivu, ile sehemu ya ndani ya ganda sugua usoni hadi asubuhi, usafishe, tumia wiki 2 halafu tunza ID yangu unipe mrejesho. Ukiwa na swali karibu
Tumia ganda la ndizi mbivu, ile sehemu ya ndani ya ganda sugua usoni hadi asubuhi, usafishe, tumia wiki 2 halafu tunza ID yangu unipe mrejesho. Ukiwa na swali karibu