britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Chunguza kwa makini ukurasa uliosambaza tangazo la msiba.If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.
Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.
Britanicca
Ikiwa unatamani kutambua kwa kina mgawanyiko mkubwa wa kitaifa (fissura nationalis), chunguza ukurasa uliosambaza tangazo la msiba ukilinganisha na taarifa rasmi kuhusu kuanguka kwa Tata Warioba.What mortuary announcement? First Gentleman’s?
Warioba collapse? Is there any foul play?
Ngoja kwanza nikasime thread kuhusu Warioba akisema mtutu wa bunduki hauwezi kuleta amani. Kuna taarifa alinguka/colapse.
TAFASIRIIf you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.
Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.
Britanicca
Yule alietangaza operation yuda ndio aliotangaza operation "beyond the Sasha presidential election term limit 2030"Kilichotokea kwa mgeni rasmi Jaji Joseph Sinde Warioba leo ni kitu kinachoitwa Vasomotor collapse syndrome au neuro cardiogenic syncope cum vasovagal syncope. Hali hiyo ya hatari huweza kumtokea mtu yeyote anayesimama kwa muda mrefu juani na kuathiri mzunguko kamili wa damu mwilini.
Ukifanya tathimini ya haraka utagundua kuwa mzee Warioba kwa umri wake amepewa majukumu makubwa ya kuwa mgeni rasmi kwenye mazingira yaliyojaa siasa chafu ambapo hata kupeana sumu ni jambo linalowezekana kwa hali ilivyo sasa. Mzee huyu ameanza hotuba nyeti mapema asubuhi na sijui aliamka saa ngapi kujiandaa na alikuwa anatema nyongo muda wote akiwa wima. Sikuona hata mara moja akipata glasi ya maji ili kurudisha maji mwilini wala kulainisha koo.
Kwa wale wenye jicho la kitabibu watakubaliana na kilichotokea sekunde chache kabla ya kuanza kuanguka kuwa alikuwa anaelekea kuzimia. Safari nyingine mzee kama yule atoe hotuba yake akiwa ameketi na awe na maji ya kutosha.
If you want to understand the deep division in the country, compare two posts: the fake report of his death and the actual statement about Tata Warioba collapsing.If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.
Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.
Britanicca
MaimunaDu... we baba una kiingelesi kigumu....!!!!