Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi
Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka huu
Ndio nimejipima Leo ila sasa nimesoma hiyo SD BIOLINE kumbe imesha expired tangu tarehe 26/4/2024
Sasa majibu niliopata hapo yatakuwa ya kweli au uongo [emoji41]