Ni Vizuri zaidi Kupima na Kipimo Kilichobora ili kupata Matokeo yaliyo Bora..Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi
Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka huu
Ndio nimejipima Leo ila sasa nimesoma hiyo SD BIOLINE kumbe imesha expired tangu tarehe 26/4/2024
Sasa majibu niliopata hapo yatakuwa ya kweli au uongo [emoji41]
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi
Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka huu
Ndio nimejipima Leo ila sasa nimesoma hiyo SD BIOLINE kumbe imesha expired tangu tarehe 26/4/2024
Sasa majibu niliopata hapo yatakuwa ya kweli au uongo [emoji41]
Madhara ya wizara ya afya kuongozwa na mwl yanajitokeza kila mahali.Hivi maji ya kupimia Ukimwi Kama yameandikwa expired 26/4/2024 ukatumia kupima mwezi huu 11 kipimo kikasoma negative kitakuwa kipo sahihi
Mara ya mwisho kucheck health status ni mwezi wa 4 mwaka huu
Ndio nimejipima Leo ila sasa nimesoma hiyo SD BIOLINE kumbe imesha expired tangu tarehe 26/4/2024
Sasa majibu niliopata hapo yatakuwa ya kweli au uongo [emoji41]
Ni Vizuri zaidi Kupima na Kipimo Kilichobora ili kupata Matokeo yaliyo Bora..
Ili kupeuka FNR (False negative Results) na FPR (False Positive Results)..
Punguza Kudeka asee
Sio kitu cha kuuliza humu hicho, kanunue bioline nyingine upime then relate majibu.
Nenda hosp
SI upime tena
Unakimwi tayar
Unapenda kujipima Pima?