Sea food

Sea food

Jailer

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
204
Reaction score
67
Tafadhali anayeweza kunifahamisha mchanganyiko wa prawns,pweza, ngisi na kingfish inachanganywa na kuwa rojo kama ina utamu fulani wa sukari
 
Jailer unaweza pika hizo zote zikawa na coconut sauce wacha tuseme mchanganyiko wa seafood wa nazi.....


Mahitaji

Seafood hizo apo......unaweza ongeza na chaza pia


Garlic

Tangawizi

Currypowder

Pilipili manga

Chumvi kiasi

Hoho

Kitunguu maji


Limau

Tui la nazi zito.


Nyaya ya kopo


Namna ya kutaarisha


Chemsha mchanganyiko wa seafood zako (king fish mchemshe mbali mana atavurugika)....weka chumvi,garlic,tangawizi,pilipili manga na curry powder

Ukitaka viwive upesi achia hizo seafood zichemke na maji yake yenyewe yakikaribia kukauka weka maji kdg kdg hadi kuwiva ..


Zikiwiva weka hoho,karot na kitunguu maji na limau subiria wiviwe navyo....

Mimina tui zito na subiria ichemke dakika 5 then epua tayar kwa kuliwa...
 
Last edited by a moderator:
Kuna ya sosi ya ukwaju kuna wengine wanaweka sugar lakini nzuri zaid ya chumvi
 
Back
Top Bottom