Jailer unaweza pika hizo zote zikawa na coconut sauce wacha tuseme mchanganyiko wa seafood wa nazi.....
Mahitaji
Seafood hizo apo......unaweza ongeza na chaza pia
Garlic
Tangawizi
Currypowder
Pilipili manga
Chumvi kiasi
Hoho
Kitunguu maji
Limau
Tui la nazi zito.
Nyaya ya kopo
Namna ya kutaarisha
Chemsha mchanganyiko wa seafood zako (king fish mchemshe mbali mana atavurugika)....weka chumvi,garlic,tangawizi,pilipili manga na curry powder
Ukitaka viwive upesi achia hizo seafood zichemke na maji yake yenyewe yakikaribia kukauka weka maji kdg kdg hadi kuwiva ..
Zikiwiva weka hoho,karot na kitunguu maji na limau subiria wiviwe navyo....
Mimina tui zito na subiria ichemke dakika 5 then epua tayar kwa kuliwa...
Last edited by a moderator: