INAUZWA Sea Piano sp-1002 full box, ilinunuliwa mwezi wa 1 mwaka huu 201

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591

Habari wandugu ,

Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures..

Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/=

Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana

Mawasiliano.
0672701329



 

Attachments

  • IMG_20230916_233001_547.jpg
    1.9 MB · Views: 19
Mwaka ni 2023 , mods please. Make changes to that heading
 
Huwezi kuuza kwa hiyo bei. Mtu akikupa Laki moja chukua fasta wala usifikirie mara mbili.

Kama mpya ni laki na nusu basi tegemea hiyo bei yake kuwa kati ya 70,000 -100,000
 
Hio speaker ina bluetooth?
 
Bei bado kubwa....mziki miezi 9 sio haba.....anzia 120k mzigo utoke kwa 80k maisha yaende.
Usiuze Mali yako kama vile unataka ikutajirishe.
Njoo na bei yako inbox mzee , au nipigie kwa namba hiyo
 
Bei imepungua mwenye. 120,000 aje chap. Inbox




Au kwa maneno mengine. Mwenye. 120,000. Aje achukue mzigo. Bei hiyo 120k , mali ipo full box kila kitu ipo mpaka risiti na remote mpka zile waya za ku connectia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…