Ukiwa slow sana ina maana ISP wako amewachukua wateja wote wa Mkongoni na kuwaongeza kwenye traffic ambayo upo ili walau wote mpate, mimi tangu asubuhi saa nne na nusu siwezi kutuma wala kupokea email toka exchange server yangu - ni tatizo kubwa.
Inasemekana breakdown ipo UK, sasa mwenye habari saa ngapi itarudi atuhabarishe au laah turudishe VSAT system.