Sean Dyche kocha bora EPL

Sean Dyche kocha bora EPL

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka , Kocha bora ni yule anayeweza kuwapa mbinu za ushindi wachezaji alionao bila kutegemea fungu kubwa ili kunununua wachezaji bora wa dunia , kocha anayeweza ku - Transform viwango vya kawaida na kuwa viwango vikali na hatimaye timu yake kupata ushindi .

Sean Dyche kocha wa Timu ya BURNLEY anastahili sifa hizi , ameibadili timu mbovu iliyokuwa inapambana kubaki kwenye ligi hadi kugombea nafasi za kushiriki michuano ya ulaya .

Yafuatayo ni matokeo ya mechi 5 zilizopita za timu ya Burnley.
3/3 Bunley 2 - 1 Everton
10/3 Westham 0 - 3 Burnley
31/3 westbrom 1 - 2 Burnley
7/4 Watford 1 - 2 Burnley
14/4 Burnley 2 - 1 Leister

Zikiwa zimesalia game tano tu kwa EPL kumalizika , timu hii iko nafasi ya 7 , point 52 mbili nyuma ya vibonde Arsenal , naitabiria kumaliza nafasi za juu zaidi .
 
NaKubaliana na wewe huwezi kuwa unafundisha timu kama man city , barcelona, Madrid , Bayern , na PSG nikakuona kocha bora
Tena ukitaka kujua ubovu wa hao wanaoitwa makocha bora wape timu vibonde kama Stoke city , Watford au westbrom
 
Ila mi sioni kigezo cha kutumia hela kama ni iwe sababu ya kumcategorize kocha huyu ni bora na huyu sio!Mbona wapo makocha waliotumia hela nyingi lakini matokeo kawaida(Mfano Mourinho na Conte) na wapo waliotumia hela na kufanya vizuri(mfano Guardiola).Mi naona kocha bora ni yule anaetumia resource alizokuwa nazo effectivelly na efficiently kwa maana kushinda makombe kadiri awezavyo..Ila credit kwa Sean dyche na Benitez wamefanya vizuri sana msimu huu
 
Safi sana ! ila Benitez alilia lia sana january apewe fungu , Dyche hajawahi kumlilia mtu
 
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka , Kocha bora ni yule anayeweza kuwapa mbinu za ushindi wachezaji alionao bila kutegemea fungu kubwa ili kunununua wachezaji bora wa dunia , kocha anayeweza ku - Transform viwango vya kawaida na kuwa viwango vikali na hatimaye timu yake kupata ushindi .

Sean Dyche kocha wa Timu ya BURNLEY anastahili sifa hizi , ameibadili timu mbovu iliyokuwa inapambana kubaki kwenye ligi hadi kugombea nafasi za kushiriki michuano ya ulaya .

Yafuatayo ni matokeo ya mechi 5 zilizopita za timu ya Burnley.
3/3 Bunley 2 - 1 Everton
10/3 Westham 0 - 3 Burnley
31/3 westbrom 1 - 2 Burnley
7/4 Watford 1 - 2 Burnley
14/4 Burnley 2 - 1 Leister

Zikiwa zimesalia game tano tu kwa EPL kumalizika , timu hii iko nafasi ya 7 , point 52 mbili nyuma ya vibonde Arsenal , naitabiria kumaliza nafasi za juu zaidi .
huyu jamaa hata mimi nimemkubali sana.
anafanya kazi nzuri kwa bajeti finyu.
strong contender wake ni Rafa Benitez.
 
Back
Top Bottom