Sean Paul alichagua kwenda Uganda badala ya Kenya sababu wakenya waliiba simu yake

Sean Paul alichagua kwenda Uganda badala ya Kenya sababu wakenya waliiba simu yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Sean-Paul-2.jpg

Inaonekana kama vile mwanamuziki wa dancehall wa Jamaica, Sean Paul hajasahau jinsi wajanja wa Kenya walimvyomliza simu yake alipokwenda kupiga show jijini Nairobi.

Hiyo ndio sababu ya mshindi huyo wa tuzo za grammy Sean Paul Ryan Francis Henriques kuamua kwenda kupiga show November 9 jijini Kampala, Uganda badala ya Kenya kwa hofu kuwa anaweza kuibiwa tena.

Staa huyo anadai kuwa aliingia hasara kubwa kupoteza simu yake sababu ilikuwa na contacts za maceleb kibao kama Beyonce na wakenya wangeweza kuitumia simu hiyo vibaya.Hatujui kama namba ya simu ya Beyonce aliipata tena!
Kwa mujibu wa vyanzo, ni ngumu sana kwa mapromota kumshawishi msanii huyo kufanya tena show nchini Kenya.

Hivi karibuni msanii mwingine wa Jamaica, Tarrus Riley aliibiwa simu yake pia jijini Nairobi.
 
Nairoberry. Hata Obama akicome hapa tutamchapia phone vi nasty na secret service allover, no wonder hawezi come Kenya.
 
Pole sana, C ati kwamba wakenya wote ni wezi, la hasha, hata Tanzania kuna wezi, wengi, wezi wa kikenya ni unique design unachapiwa shati ukiwa umevali koti juu yake. You just need to be extra carefull walking on those streets or you will be shoked at what happens to you. If we ni mgeni, u dont talk to strangers, i understand Tanzanians are friendly and polite so you are used to that, I guarantee you that is hard to see in Kenya, ask for direction only from security guards guarding buildings, na try as much as possible not to look lost, coz thats where it all starts.
 
Back
Top Bottom