We kweli mfia Zari dooh.....Nimeona neno zari,chezea zari ndani ya iyena
Bosslady bana ana nyota kali mno
We kweli mfia Zari dooh.....
Haya maneno ya anashuka yamekua ni nyimbo pia.Wanajarbu wamshushe wanashindwa TATZO.WIVU WA KIMASKINI UNAWASUMBUAView attachment 815970 Alafu watu wanadai eti anashuka, sijui wanatumia kigezo gani, Diamond platnumz kadominate karibia kila kitu East Africa
View attachment 815962