mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Vijana wa siku hizi wameshindwa kabisa kutongoza!
Wameshindwa kabisa!
Ahaaaa ahaaaa ahaaaaaPuli zitakuua wewe
Vijana wa siku hizi wameshindwa kabisa kutongoza!
Wameshindwa kabisa!
Ahaaaa ahaaaa ahaaaaa
Hi Den
Goodluck..
Weka kiswahili kidoncho basi..
Uutu epushe na google translate..
Mzima kabisa ndio umenitosa haya sawa bwana, wifi yako hajambo tunategemea kupata mtoto this year kwahiyo muda si mrefu utaanza kuitwa aunty lolwasemaje kaka?? wifi langu ad halijambo jamani? hamjatengeza kibaby bado?
Mzima kabisa ndio umenitosa haya sawa bwana, wifi yako hajambo tunategemea kupata mtoto this year kwahiyo muda si mrefu utaanza kuitwa aunty lol
Ngoja niongee na wifi yako AD najua hatokataa hilo jina, siku hizi hata haupiti mtaani kwetu kutusalimia hadi AD analalamika anasema umetuwekea tinted siku hiziinshallah ya rabb kitoto kitwe nilham okay??? nasemaje? nimekutosa na nini tena jamani??
Labda kuongea kingereza ndio six... haya baba, good luck in your quest!Hi Den
Goodluck..
Weka kiswahili kidoncho basi..
Uutu epushe na google translate..
Hapo kwenye Red kwa hiyo upo tayari kuoa mwenye sura hata kama ya "masudi sura mbaya"?Hi everyone outhere,Iam DAn and its just that Im so much in need of
a soulmate.First she should be searching too to avoid wasting time.
Two she should be ready for a serious steady and distant relationship.
Three no below 27yrs of age.
Four It doesnt matter if she is beautiful or not.
Five Let her be working(it doesnt matter where and how much she earns)
Send an e-mail to mogan_dn@yahoo.co.uk or call +255764730278
+255785917828
Let her keep it in mind that I work in the lake region.
Dan
Ngoja niongee na wifi yako AD najua hatokataa hilo jina, siku hizi hata haupiti mtaani kwetu kutusalimia hadi AD analalamika anasema umetuwekea tinted siku hizi
Salaam nitazifikisha kwa mikono miwiliheheheh haya inshallah,,,mi sikuweka tinted jamani ni kazi kazi tuu si wajuwa tena,,,utanisalimia bas wifi,,,
hehehehhehehehehh loool!!!!
Nilham ulikuwa wapi siku zote? Na je wajua babu alivokumiss?
Siku nyingine ukiondoka bila kuniaga, nakunywa sumu.