Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Unaweza kutazama hii Season inayo muhusu Deng Xiaoping.
Inaelezea alipokea China katika mazingira gani ? ( Yalikuwa mazingira mabaya sana katika historia ya China )
Inaelezea walikabiliana na changamoto gani hasa miaka ya 70s,80s walipo amua kuibadili kabisa taswira ya nchi hasa kiuchumi.
Ni moja ya Season nzuri kwa wale wanaopenda mambo ya kisiasa,kiuongozi.
Hii Season ni somo tosha la uongozi si tu Tanzania bali Afrika nzima kwa mataifa yaliyo nyuma.
Kuna wakati China walikuwa hawana kabisa akiba ya fedha za kimaendeleo na kukopesheka ni mtihani Deng na viongozi wakubwa wa China inafika hatua proposals zikiletwa za miradi au ideas fulani kuhusu kukwamua eneo fulani kiuchumi China Deng anajibu tafuteni mbinu za kutengeneza pesa katika hilo jambo serikali haina pesa kwa projects hizo.
Mpaka China wakakubali Special Economic Zones huko Guangdong moja ya sababu ni hii serikali kukosa pesa.
Serikali ya China iliweza vipi kudhibiti wachina kuacha kukimbilia Hong-Kong kusaka maisha licha yq mbinu zao za awali za fensi na ulinzi mkali kufeli ? Ni sera tu za uchumi zilitibu matatizo
Hii Season inafundisha nini maana ya collective leadership maamuzi lazima yapite kamati kuu na kukubalika.
Series inaonesha kwa namna gani Deng alikuwa na kazi ya kubadili wanachama na viongozi wenzake wengi waliokuwa na mawazo ya kizamani kazi ilikuwa nzito
Four modernization walizokubaliana na kuzifanya China wakati Deng anarudi kwenye siasa baada ya purge kama ya tatu aliyofanyiwa na Gang of four
i, Science&technology
ii, Agricultural
iii, Industry
iv, Defence
So far, maeneo yote haya manne kwa sasa China anatisha sana
Jina la Season: Deng Xiaoping at History's Crossroads
kwa wasio fahamu Deng katika kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kuwa Rais wa China wala kiongozi wa chama cha kikomunisti cha China ( nafasi ya ukatibu mkuu ) lakini alikuwa ndie kiongozi mkuu wa China wakati wake, siasa za China zina changanya kidogo.