Seba Wa EA Radio Yuko Wapi?

Seba Wa EA Radio Yuko Wapi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Ni muda sasa huyo jamaa sijamsikia akitangaza. Bado yupo kweli!? Mwenye taarifa tafadhali.
 
naona kabobea kwenye matangazo...
 
Yupo Magic fm anatangaza sambamba na Musa kipanya kipindi cha jioni nadhani kuanzia saa kumi
 
Namzungumzia Seba (Sebastian) na sio Ssebo (Dennis Busulwa) raia wa Uganda ambaye aliwahi kuwa EA Radio and TV ambaye yuko Magic fm akifanya kipindi cha jioni na huyo uliyemtaja.
 
kweli eee simsikii jumamosi akishusha mavitu ya nguvu, kama amesepa huyu basi pale audience lazima ipungue maaana jamaaa alikuwa juu
 
Na yule steav kafire yuko wapi ?? Hivi pale kwa nin majembe huwa hawakai muda mrefu??

EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba
 
Steve Kafaya na Bush Baby nilikuwa nawakubali sana hawa jamaa

Mi siku hizi nacheka na Mkude tu 93.7fm...huyu jamaa ni shida huwa nacheka peke yangu
 
EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba
kumbe ndio maana zembwela pale amekuwa star! nimeshaelewa sasa.
 
kweli eee simsikii jumamosi akishusha mavitu ya nguvu, kama amesepa huyu basi pale audience lazima ipungue maaana jamaaa alikuwa juu

Kuna kipindi alikuwa anatangaza Late night........... hadi raha ile sauti
 
Back
Top Bottom