Seba Wa EA Radio Yuko Wapi?

Sebastian Mwaikambo huyu jamaa alikimudu sana kipindi cha East African Drive naona sasa kaacha ile kazi maana ni kipindi sasa toka hafanyi hyo kazi.

Basil Mbakile ndio anaendesha kile kipindi sasa nae si mbaya anakimudu lakini bado tunamkumbuka Seba,huko aliko ajue Basil anafanya kama yeye..Basil mze wa One for the road
 
Basil mbakile ?? Hili jina sio geni kwenye hii tasnia hebu tupe profile yake
 
Basil mbakile ?? Hili jina sio geni kwenye hii tasnia hebu tupe profile yake

Huyu miaka ya nyuma amewahi kuwa radio one na ITV baadae nkawa namskia bbc,hivi sasa namskia Ea Radio

Profile yake sinayo labda mwenyewe aje na kujielezea
 
Hebu sikilizeni EA muda huu,ni raha tupu!! hili pindi nalikubali sn yani
 
ayaaa anatangaza vizur aiseee sijui yuko wapi
 
ayaaa anatangaza vizur aiseee sijui yuko wapi.
 
Jamaa kumbe yuko Choice fm kwa sasa nimemsikia leo mchana huu!
 
Daah....Huyu jamaa nilikuwa sikosi kipindi chake kila Jumamosi saa 12jioni mpaka saa 2usiku..

Alikuwa anatangaza powa sana..
 
Kuna siku nilimuona kwny habari inaonyesha yuko kampuni ya tsn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…