NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,066
- 294
jamani hata picha hamna??
Alimpa msaada mshikaji wangu na leo hii huko aishiko, jamaa mke wake alimzalia ki-Sebastian ambacho sasa kina karibu miaka 10 sasa. Sijawahi kubahatika kumuona zaidi ya kusikia sifa zake tu huyu Mzee watu wakimshukuru kwa misaada yake.
Kama kuna watoto au ndugu zake basi lazima wawe Proud na ndugu/Baba yao.
Kuna Vi-Sebastian hadi nje ya Tanzania.
Nahis atakua ni Rutta Kinyondo kama sijakosea jamaa alikua anasifika kwa akil tangu tuko primary enz za 1990's walim wenzake na mrs kinyondo walikua wanampongeza Sana mrs kinyondo kwa Kua na mtt kichwa tukamjua kupitia walim pale shule na kuna kipind alikuja shule kumsalimia mamake akatukuta tuko tuition ya hesab mamake Ana tuition class lingine. Ticha wetu wa hesab akamuintroduce uyo kijana class jina lake.Kuna mshikaj alikua amekomaa ubaon asolve hesab jamaa akaomba amsaidie akaisolve hata dk 5 hazijaisha alitiririka ubaon km calculate.Rutta yuko vzr sn kichwan. Familia Bora na ilikua Aina Makuu kwakwel.anamtoto wake pale tigo, very humble fela n very smart upstairs too...ila misimamo nayo anayo ni critical thinker, ni best wa my bro, bro huniambiaga jamaa hamna mtu anamchukia anapendwa na kila mtu. Rip
anamtoto wake pale tigo, very humble fela n very smart upstairs too...ila misimamo nayo anayo ni critical thinker, ni best wa my bro, bro huniambiaga jamaa hamna mtu anamchukia anapendwa na kila mtu. Rip
Daaah,umenikumbusha mbal sn enz za Primary school tulikua tunamuona Mh Sebastian Kinyondo almost daily yeye na Dereva wake walikua wakimpitisha mkewe pale shule(Bunge Primary School)Mkewe alikua Geography Ticha.Bas ticha Kinyondo (mkewe) alikua anatuambia kamsalimien Babu yenu we used to admire ile Kiko Yake, bas tulikua tunamkimbilia kwenda kumsalimia Babu kwenye gar yke enz za 1990's ilikua Gar ya Serikal land cruise nyeupe W-KV( Wazira Wa Kaz Na Maendeleo Ya Vijana)ilikua ukiiona tu Iyo gar unamkimbilia kumsalimia Bab wa Kwanza alikua anapewa zawad buku,buku 2 enz izo buku nying sn badala ya kumpokea Ticha unakimbilia salimia babu akupe hela. Tutakukumbuka Daima Milele Babu yetu Mh Sebastian.Mungu Ailaze Roho yako Mahar Pema Pepon.Amen.Tutazid kukuombea. Salam na mapenz tele kwa Mrs kinyondo popote pale ulipo we will neva stop micing u our Ticha.Ila Ulikua mkal balaa.
i think wewe miaka iyo bunge tulisoma wote mie nimemaliza 92.
Kiboko yake alikuwa ni Sokoine (RIP) alimkamata kwenye uhujumu uchumiKuna viongozi hatupo nao hawakumbukwi lakini walilifanyia taifa hili mambo makubwa sana. pamoja na Kinyondo hapa namkumbuka Mzee wa Shambani Wiki hii - si mwingine ni EDWARD BARONGO aliyewalazimisha kulima Tumbaku wananchi wa Songea. Tumbaku ndo zao la biashara kuu huko tokea wakati huo hadi sasa. Pia aliwazindua wahaya kuwa maeneo la RWEYA yanaweza boreshwa yakawa productive. alifanya kwa vitendo na akazalisha ndizi nyingi na bora kwa kutumia mbolea ya samadi na mboji. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alimfanya nini mpk akampiga?dahh umenikumbusha mbali sana ..nakumbuka wakati ule ni waziri wa kazi ,kuna mlemavu mmoja alimvizia pale jengo la ofisi yake ile anatoka tu kwenye lift akamrukia akamsiliba mangumi na kumpiga ngeta kama wezi wa simu mwananymala ...aaah pumzika komredi kinyondo