Sebastian Kolowa Memorial University

Sebastian Kolowa Memorial University

konrad

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
84
Reaction score
12
Naomba kufahamu kama Sebastian Kolowa Memorial University,ambayo ipo Mkoa wa Tanga bado inatoa Huduma ya Elimu? Na je inatoa kozi zipi?
 
Sebastian kolowa memorial University ilikuwa ikitoa elimu kupitia majengo ya maghamba secondary.
Taarifa nilizonazo ambazo siyo rasmi ni kwamba chuo hicho kwa sasa hakipo pale . Hembu jaribu kufuatilia zaidi.
Courses zao tafuta prospectus on line utaipatà
 
Mi nataka kujuwa huyu Dogo ana mahusiano gani na hicho chuo...
Screenshot_20241122-052746_1.jpg
 
Kila siku namwambia mwanangu apige kitabu kweli kweli. Masuala ya kumaliza alaf unaanza kutafutiza vyuo sitaki aisee. Soma, faulu vzr chagua chuo unachopenda mwenyewe, sasa Sebastian Kulowa et nacho ni chuo
Kimepata ithibati lakini
 
Kila siku namwambia mwanangu apige kitabu kweli kweli. Masuala ya kumaliza alaf unaanza kutafutiza vyuo sitaki aisee. Soma, faulu vzr chagua chuo unachopenda mwenyewe, sasa Sebastian Kulowa et nacho ni chuo
Hazihusiani Mkuu na maada husika hichi chuo pekee hapa TANZANIA ndiyo ilikuwa kinatoa kozi, Bachelor in mental health sciences , ndiyo maana nilikuwa nataka kufuatilia kama bado inachukua Wanafunzi, maana kwenye guide book ya TCU haipo kabisa siku hizi
 
Back
Top Bottom