Sebastiani Ndege ni Jembe

Yes!! Huyo ndiye ninayemjua!!
 
Bongo niliishaivulia kofia wallah. Hebu subiri huu uzi usonge mbele.....baada ya mda utakuta jamaa na "mafanikio" yake hayo..lazima kuna chembe za ufisadi au pesa za figisu figisu kwenye hayo mafanikio.....Subiri utaona...

JF where we dare talk openly! Ndo maana watu wanaamua kwenda kumuunga mkono JPM huko CCM...in Msando's voice......hahahahaahah
 
Wasiliana na waliokuwa wanaishi nae upanga enzi utoto.
 
Jamaa yuko poa ila anapenda sana attention...

Maisha ya juu anayoonesha Insta sidhani kama ni kweli kwa 100%.

Kwa vitu vingine ni show off ambazo hazina maana.Ila ana haki ya kufanya chochote with his insta life or anything.

Ila stage hii ataivuka na kuachana na attention seeking.

Mwenzake Davis Mosha alishapita huko naona kawa mtulivu sana nowadays
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23

Nachoona huyu jamaa bado hajavuka stage ya kiduwanzi ya show off..

Ila atakuja kutuliza mapepe na ku-stick into business 100%.

Kibongo bongo kwa jinsi anavyojionesha kwenye social media ni kama ametusua vikali.Ila kwa waelewa sidhani kila anachoonesha kina translate into reality.

Sidhani tajiri serious ana muda na in flight photos,au shopping photos,au dinner/food photos...au picha za magari kwenye dp...Sijui dhumuni lake hasa ni nini.

I can agree jamaa anajua sana kujipromoti yeye binafsi kuliko hata biashara zake.Yaani yeye anajulikana zaidi ya biashara zake.Maajabu....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kweli kawazurumu wenzake ajiandae kisaikolojia na anguko La kutisha.
 
Huyu Jamaa anakampuni ya insuarance, Ambayo aliitumia kupiga pesa GGM akishirikiana. na jamaa baadhi ya jamaa wa GGM,
Kiufupi nakupata fedha nyingi sana kwenye dili la kuinsure ggm
 
Hiv huyu jamaa kwanini radio yake hata sengelema tu haifiki
 
Mbona rahisi kukulikana hasa ukipata kuwa famous
Umesoma na watu shule ya Msingi
Umesoma na watu O level
Umesoma na A level
Umesoma na watu sijui certificate au Diploma
Umesoma na watu degree nk
Huku kote inawezekana ukawa na marafiki ambao inawezekana wakawa wamewahi kufika mpaka kwenu na kuwapa story za familia yako.
Kumbuka hawa marafiki zako baada ya kutengana wanamarafiki pia kwa mna moja au nyingine waliwapigia story kuhusu wewe.
Lazima watu watajua hali ya kwenu na yako kifedha nk nk.
"Usiogope ishi vizuri na watu nao watapiga story nzuri kuhusu wewe "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…