kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mkurya piwa wa tarimeSio mkurya mkuu acha urongo jamaa anatokea ukerewe ni mjita
Kumbe Ncha Kali ndyo Reuben Ndege...,JF ni kiboko!Reuben Ndege (Ncha kali) yule jamaa ni Mkenya hawana uhusiano wowote
Halafu mtoto wa kike ukapoteza muda kusoma wanaume wakipoteza mudaMambo ya ajabu haya. Watoto wa kiume wanapoteza muda kumuongelea mwanaume mwingine aliyewazidi kimaisha. πππππ. Tabia za kifala sana hiz. Hata kama mtu ana show off kwani alikuja kukuomba hela? Jadilini vitu vya maendeleo tulisaidie taifa letu kupunguza umaskini
Daktari mmoja ambaye hakupata leseni ya kutibu watu akakimbilia kwenye utangazaji, baada ya baba yake kufariki akawadhurumu nduguzake kampuni ya bima ya ndege na kuifanya yake binafsi na kwenda kuwekeza huko mwanza akiwa na matarajio ya kushika kama clouds ilivoshika jijini alianza kwa mbwembwe mara kumleta Neyo na wasanii wengine lakini show zake zimebuma. Hoteli aliyojenga mwanza wateja ni mpakaa weekend alikosea location huku redio yake ikishindwa kusikika hata misungi
Jamaa yuko poa ila anapenda sana attention...
Maisha ya juu anayoonesha Insta sidhani kama ni kweli kwa 100%.
Kwa vitu vingine ni show off ambazo hazina maana.Ila ana haki ya kufanya chochote with his insta life or anything.
Ila stage hii ataivuka na kuachana na attention seeking.
Mwenzake Davis Mosha alishapita huko naona kawa mtulivu sana nowadays
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
Nachoona huyu jamaa bado hajavuka stage ya kiduwanzi ya show off..
Ila atakuja kutuliza mapepe na ku-stick into business 100%.
Kibongo bongo kwa jinsi anavyojionesha kwenye social media ni kama ametusua vikali.Ila kwa waelewa sidhani kila anachoonesha kina translate into reality.
Sidhani tajiri serious ana muda na in flight photos,au shopping photos,au dinner/food photos...au picha za magari kwenye dp...Sijui dhumuni lake hasa ni nini.
I can agree jamaa anajua sana kujipromoti yeye binafsi kuliko hata biashara zake.Yaani yeye anajulikana zaidi ya biashara zake.Maajabu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noted.Huyu Mwamba bado haijajulikana vyema ni direction ipi anampeleka harmonize
Kama umeelewa ratiba za kondeboy kwenye matamasha yake,,naomba unitag MTU akitoa jibu.Huyu Mwamba bado haijajulikana vyema ni direction ipi anampeleka harmonize