Chief Nanga
Member
- Aug 10, 2011
- 42
- 1
Napita kwanza nitarudi bdae kidogo ngoja wakujuze.inawezekana mwaka huu tcu na heslb wanatoa movie ya karne.

Mzazi unakumbuka kuwa nilikuomba uniangalizie?

mkuu ucjal nipo mitamboni we nikumbushe tu nikuangalizie hata sasa hv majina yote ninayo hapa.
Mkuu umenisoma nimesha kuPM

2nd applicants matokeo yao watayapublish bt hawatakua na mikopo kwani tayari 79.5bil ambazo ndo kiasi kilichokua kimepangwa kwa undergraduate 2011 zimetumika kuwapa mikopo wale 23elfu tu wa 1st appl.

Hivyo kuweni na subira vyuo mtapata kama mnasifa ila mikopo ni probability.

we ba colln,ebu ka unajua wasave hawa madogo walokosa mikopo na wana vigezo wafanyaje,maana weng wao wanaelekea kukata tamaa kwa kweli.

Senetor yaan to be honest mi pia imenisikitisha sana kuona watu wanasifa then wanakosa mikopo ukizingatia maisha kwa sasa niyatabu sana.

Wakuu nafikiri hawakuumiza vichwa katika maamuz waliyo yafanya na italeta mkanganyiko.

Ushauri wangu ni kwamba tuvute subira mpaka j3 au j4 tunaweza tukaja na mawazo mengine ya kuwashauri wafanye nini.kwan kwa sasa hata ofisi zimefungwa.

Poleni sana watanganyika wenzangu.

tatzo hawa madogo nao wana haraka sana..hawana subira kabisa.

Mkuu Senetor ningeomba unijuze hapo Udsm mnafungua lini chuo?

tar 10/oct,bt 1st yr itakua ni tar 03 ka skosei.

Wakuu habari zenyu?

Mimi ni miongoni mwa wale applicants wa 2nd round,nimejaribu kucheki kwenye orodha A na B za matokeo waliyotoa bila kuliona jina langu na si mimi tu kwani kuna washkaji zangu kama wanne hivi wote hatumo.

Ina maana hii second application ilikua zuga ya hawa jamaa wa tcu au kuna wenzetu humu JF wamepata kupitia second application?Naomba mnijuze wakuu kama mpango mzima ndo umekwisha hivyo kama wamechanganya wote 1st na 2nd kwa pamoja.

nawasilisha.