Second batch HESLB 27/10/2023

ushahd

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
175
Reaction score
104
Salaam wana jamvi

Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili

Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?

Maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
 
Salaam wana jamvi
kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili
samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?
maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
[emoji1784][emoji1784]
 
masters vipi? kuna yeyote aliyepata??
 
Oya naskia huko mambo yameshaanza kujibu wakuu
 
Mi hola wajomba, nitegemee chochote labda wataweka? Ni postgraduate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…