Second batch HESLB 27/10/2023

Mkuu kwako lilikaa mda mchache kwangu Lina masaa sasa ila acha niamini nisikate tamaa
Usikate tamaa, alafu c unajua ndugu set Hawa wakiwa ofisin ski za weekend wanawah kufunga lbd , so inawezekana wamestop kwa Leo walipoishia mpk j3
 
Mkuu amini ninachokuambia, hpo mkopo unapata ht mm nilipata hyo statement muda mchache kbl ya kutunukiwa "deni hilo la mbeleni" kwa maana ya loan [emoji3]
Ni ya kweli au unatutia moyo mkuu
 
Walitangaza wapi 🥲 sitaki kuamini nimekosa tena jamani
Ondoa ofu kijana mimi mwaka jana nilikosa mkopo adi nikaenda chuo sijapata ila namshkuru Mungu niko chuo niktembelea SPA yngu nikakuta walinipa pia. So usiwaze sana we tembelea account yko nakuhakkishia utapata
 
Asantee sana
 
Ili kujua umepata ukilog in unatakiwa uende wapi?
 
.
 
Attachments

  • IMG-20231024-WA0032.jpg
    73.5 KB · Views: 9
Na ikimaliza batch ya pili ndio basi au kuna batch la 3?
 
Hii imekaaje wadau... na ac bado haijabadilika chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…