najaribu kuappeal hp kuomba niongezew mkopo, Ila tatzo ni kila nikiupload picha yng ambayo niliiscan kwa app ya camscanner hpo awali then nikaiconvert online kuwa jpg kila nikiupload inakataa .
.je shida iko wapi
Nina swali.
Mtu kwao ni iringa na kwenye fomu ya mkopo amejaza hivyo lakini chuo ni morogoro.
Je Ni lazima mwenyekiti wa mtaa na mjumbe awe wa iringa kule aliikotokea?