Second batch UDOM 2014/15

hii hapa pdf format wanajamii

kozi zingine atuzioni na majina yetu pia ayapo kwenye list ya second batch lakini list ya tcu tupo tumechaguliwa udom sasa hapo inakuwaje msaada wenu wadau mnaoelewa ili swala.
 
kozi zingine atuzioni na majina yetu pia ayapo kwenye list ya second batch lakini list ya tcu tupo tumechaguliwa udom sasa hapo inakuwaje msaada wenu wadau mnaoelewa ili swala.

Hata mie hivyo hivyo,msaada wa haraka plz
 
Hata mie hivyo hivyo,msaada wa haraka plz

mi nafikili as longer as tumeshakuwa ktk admission result selection 2014/2015 na tumepangiwa chuo sidhani kama ninuhimu kuwa kwenye list wakati tumekuwa institution selected nikufukuzia admission letter tu au wadau mna maoni gani kuhusu mawazo yangu naomba idea zenu pia maana aya mambo sometimes ni stress tupu...
 

Tujaribu kuwapigia simu nacte watoe ufafanuzi.au vip??
 
hata mie wakuu jina langu silion nilitoa hayo majina ili wenzangu waone n pia naona haina jins ya kusumbuka cz kila mtu anajua alipochaguliwa so tusubiri admission letter saa 16
 
hv admision letter watatoa lin coz kwenye web ya udom first year wanatakiwa kulipa direct cost mwisho ni tar 15 october so unaweza kulipa direct cost b4 admision letter
 
aaargh jaman kumbe admission letter kwa udom ni kuanzia leo tar 2 muda kuanzia saa kumi ckusoma vzur
 
hata mie wakuu jina langu silion nilitoa hayo majina ili wenzangu waone n pia naona haina jins ya kusumbuka cz kila mtu anajua alipochaguliwa so tusubiri admission letter saa 16

sasa barua itapatikana vipi? wakati wanaotoa admission letter ni chuo, na kwenye system ya chuo jina lako halipo, huoni kama kuna uwezekano saa kumi leo, tusione majina kama kwenye list ya chuo haupo?
 
aina sheeda wakuu tusubili admission letter watajuana wenyewe

kama chuo hakikutambuii na wao ndio wanaotoa admission, je watatoaje jina ambalo halipo kwnye list/mfumo wao, ufafanuzi tafadhali!!!
 
jina lko haliwez kutokuwa kwa list huku ukisearch tcu unaonekana kuwa umechaguliwa na pia umeisha kuwa approved na institute husika... na kama unamashaka tusubiri batches zingine zitokee
 
kama chuo hakikutambuii na wao ndio wanaotoa admission, je watatoaje jina ambalo halipo kwnye list/mfumo wao, ufafanuzi tafadhali!!!

they say instute selected university of Dodoma simply ni upo kwenye selection ya university of Dodoma kwa ufahamu wangu tcu kazi Yao nikupeleka majina kulingana na chuo na sifa zako lakini chuo kikikukataa uwez kuwa institute selected utaambiwa ufanye tena selection ya round ya pili na unapokubaliwa ndo unakuwa institute selected lakini kupitia account ya tcu so kama ni institute selected mi nadhani nichuo kimekuafiki kwa sifa zako ndo mana tcu wametoa mfumo wanaouita admission result selection 2014/2015 yani kwa kiswahili tungesema umekuwa umeruhusiwa ktk uchaguz wa vyuo nadhani admission ni kama pass yakuingia chuo ebu angalia iyo maana vizuri sio urembo wa maneno na ukiingiza surname matokeo yanakuja inamaana iyo ni system...au vipi
 
mm nadhan tcu hawawez kusema umechaguliwa na hyo institute bila hyo institute kukubal kwamba umechaguliwa nadhan ni idad nying ya watu ndo maana wanatoa kwa barches so kama uko selected na hyo institute tcu ndo wanatoa majina...ni suala la hyo institute kutoa majina kwenye web yao TCU HAWANA CHUO CHAO WAO WANATOA MAJINA YALIOCHAGULIWA NA VYUO MBALIMBAL
 
Wanasema kuna batch nyingine ila ikitokea batch nyingine haupo meansa wanasema hujakizi kwao so let wait for another batch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…