Second opposition politician killed in Tanzania

KichwaNgumu254

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
1,284
Reaction score
1,152
A politician of Tanzania’s main opposition party Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) was killed with machetes on Thursday night at his home.

The party has termed the murder a “political assassination” and called for urgent investigation into the killing of Godfrey Luena, who had been elected to represent Namwawala ward in central Morogoro.

Mr Luena is the second party official to be killed in less than a fortnight.

Chadema deputy secretary-general John Mnyika claimed in Dar es Salaam on Friday that prior to his death, Mr Luena had had differences with the local government and ruling party officials over an alleged land-grabbing by the latter.

Mr Mnyika told the media that Mr Luena had left his house to look into a power cut that had affected his house alone when he was attacked by unknown assailants armed with machetes.

Mr Luena's murder was confirmed by regional police commander Ulrich Matei, who said the motive was unknown and the killers were being sought.

Related Content
“Following multiple incidents of torture, kidnapping and murder of our leaders, state organs should take this matter serious. There is need for abrupt measures to be taken by the police force. The tendency of claiming to be following up on the matter is a sign of incompetence,” Mr Mnyika said.

On February 13, Daniel John, a Chadema official for Hananasif ward, Kinondoni in Dar es Salaam, was found dead with machete wounds at a beach where he had been dumped.

At the time of his death Mr John was in charge of the party’s campaigns in Hananasif ahead of the Kinondoni parliamentary by-election held on February 17.

Chadema chairman Freeman Mbowe accused the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party of being behind the attack, saying: "The party in power wants to get everything by force." The government has rejected the claims.

“It has reached a point where we have to arm ourselves because we do not know who is going to be next, abductors are everywhere,” Mr Mnyika said Friday.

In September 2017, a senior opposition lawmaker Tundu Lissu was shot several times at his home in Dodoma. He was rushed to Nairobi where he was in intensive care for several months, before being transferred to a hospital in Brussels where he continues to receive treatment.

Last week, the United States raised concern over "politically-related confrontations and violence" in Tanzania and called for "a transparent investigation to hold all perpetrators of violence accountable."

Second opposition politician killed in Tanzania

-Additional reporting by AFP
 
Duh! Tanzania siku hizi hawana bahati, haya mambo yanaangazwa na kuanikwa, kila wakifanya, taarifa zinaenea. Awali walikua wanafanya makubwa kama kunyofoa albino halafu inapigwa chini ya mkeka.

Nafikiri jitihada za Tundu Lissu zinafua dafu.
 
Vyuma vimekazwa grisi lazima isakwe kwa njia yoyote
 
Duh! Tanzania siku hizi hawana bahati, haya mambo yanaangazwa na kuanikwa, kila wakifanya, taarifa zinaenea. Awali walikua wanafanya makubwa kama kunyofoa albino halafu inapigwa chini ya mkeka.

Nafikiri jitihada za Tundu Lissu zinafua dafu.

Fuatilia chanzo cha mauaji hayo kabla ya kuropoka. Huyo mtu alikuwa na mgogoro wa ardhi na huenda ndio umesababisha mauaji hayo.
 
Fuatilia chanzo cha mauaji hayo kabla ya kuropoka. Huyo mtu alikuwa na mgogoro wa ardhi na huenda ndio umesababisha mauaji hayo.

Hizi habari za viongozi wenu wa upinzani kuuawa zimegonga vichwa vya habari mfululizo, utafanya kazi ngumu sana ya kutolea maelezo, huyu mgogoro wa ardhi, yule kile mwengine kingine, juzi mwananfunzi kapigwa risasi na kuuawa kwenye gari.
Anyway inawezekana ni coincidence, maana wanasiasa nao huwa wana kero zao za pembeni halafu yakimjia serikali inalaumiwa.
 
Ni waambie watu wa Kenya huku kuna Kiongozi anaye mfanya Oberfuhrer dr Mengele wa Nazi Germany kuwa ni malaika fulani hivi
 
Ndugu zetu watz, tunawomba sana msikubali hawa wanasiasa wawaelekeze kwenye njia hii. Tuulize sisi wakenya, siasa na visasi vikiingiana hakuna yeyote ule anayebaki salama. Walipomuua Pio Gama Pinto na J.M. Kariuki huku Kenya, miaka ile ya 60s, hawakujua kuwa kuna wakenya ambao watakumbuka hujuma hiyo hadi sasa hivi, yaani kwao ni kama jana tu.
 
Hawa watawala wetu wanahisi kutofautiana kwa hoja nia uadui sijui hii mentality wameitoa wapi mpaka kuwa na roho ya kinyama namna hii
Inatamausha kweli kuona jirani zetu mkiyafanya haya yawe kama ya kawaida tu. Wakati sisi tunaofahamu Tz na watanzania vizuri tunajua sivyo. Siasa kando, huyu shetwan wa visasi vya aina hii anafaa akemewe kwa fujo kabisa!
 
Kwa nini wauawe wa upinzani tu kwani hao walioko ccm hawana migogro mbona hatuskii wao wakiuliwa ???

Naomba jibu lako tafadhali
Mbona Kibiti, Mkuranga na Rufiji waliuawa viongozi wa CCM tu? Tena zaidi ya 30.
 
Reactions: Oii

Hao viongozi waliouwawa ni watu wa chini sana na hawana ushawishi wowote. Sioni sababu za serikali kutumia nguvu kubwa kwa dagaa wadogo.
 
Mbona Kibiti, Mkuranga na Rufiji waliuawa viongozi wa CCM tu? Tena zaidi ya 30.
Two wrongs does not make one right , kwa nini jeshi letu hili liwe ndyo watuhumiwa wa kwanza wa mauaji haya we mwenywe ni shahidi

Kwa nini hawachukui hatua kama walizochukua huko kibiti kwa maana hao nyo wenye wajibu wa ulinzi wa raia na mali zao

Wana kipi cha kutuondoa shaka wao pamoja na idara za intelijensia hawahusiki ?

Je kwa awamu zilizopita ulishawahi kuyaskia haya kwa namna hii ?

Ukiyatafakari haya bila muhemko wa kisiasa unapata taswira gani
 
Duh! Tanzania siku hizi hawana bahati, haya mambo yanaangazwa na kuanikwa, kila wakifanya, taarifa zinaenea. Awali walikua wanafanya makubwa kama kunyofoa albino halafu inapigwa chini ya mkeka.

Nafikiri jitihada za Tundu Lissu zinafua dafu.
Hapo ndipo serikali yetu inapokesea. Magufuli kwenye swala la democrasy ni zero kabisa
 
Mimi ni ccm lakini kwa mambo wanayofanya siwa support kabisa. This is too bad
 
MK254 nilikuwa nikiilahumu serikali ya Kenya kipindi cha mahuwaji but you a far better. Share this pictures to all Kenyan media. We want the world to know that Tanzania is nolonger safe. Mimi ni ccm but always nitasema ukweli fitina kwangu mwiko
 
Attachments

  • IMG_20180224_014817_117.jpg
    20.5 KB · Views: 38
  • IMG_20180224_014810_223.jpg
    37 KB · Views: 32
  • IMG_20180224_014748_259.jpg
    87.1 KB · Views: 31
Fuatilia chanzo cha mauaji hayo kabla ya kuropoka. Huyo mtu alikuwa na mgogoro wa ardhi na huenda ndio umesababisha mauaji hayo.
You cant fool us
Mimi nimtanzania. Tuwaone hao wauwaji
 
Fuatilia chanzo cha mauaji hayo kabla ya kuropoka. Huyo mtu alikuwa na mgogoro wa ardhi na huenda ndio umesababisha mauaji hayo.
Acha uongo Sasa mbona hao suspect hawajakamatwa CCM nyie ni wafuga majini. Hâta alipokua anaishi hupajui kazi kusema mgogoro WA ardhi maisha ya mtu hayadhihakiwi bora ukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…