second post

Israel masawe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
143
Reaction score
57
jee kwa mtu ambaye tayari ni mfanyakazi serikalini anapomaliza kujiendeleza akiomba kazi tena serikalini atapata kama new post?
 
Ndiyo.Unajua kuna nafasi nyingine unaambiwa pitisha barua ya maombi kwa mkuu idara. Wengine wakuu wa idara wanoko sana.
 
oky yuko broo kamaliza bachelor ya elimu na alikuwa na cheti. Amejiendeleza kwa mfumo wa masafa yaani open. Sasa idara haija msaidia kitu. Ndo sasa anataka kuomba tena apangiwe sehemu nyingine anayo taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…