Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,994
- 1,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me naona ukiomba zinakuja tu kozi zote, nahisi itakuwa kozi zote zina nafasi japo idadi ya nafasi zinatofautiana kwa kila kozibara wangeonyesha zilizobaki
Me naona ukiomba zinakuja tu kozi zote, nahisi itakuwa kozi zote zina nafasi japo idadi ya nafasi zinatofautiana kwa kila kozi
Mkuu, nipe dondoo kidogo kuhusu Bsc. horticulture..Nafas zipo Ila hta Kama imejaa utaikutaa..
Mkuu, nipe dondoo kidogo kuhusu Bsc. horticulture..
we nae kila Uzi unaweka huo utopolo wako sa siuwapigie TCUMsaada wenu ndugu zangu wa dharura
Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine,
otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.
Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.