ERICKY_TZ255
Member
- Aug 27, 2024
- 49
- 42
Unatuma maombi.Naomba kuuliza ni vigezo gani vitafanya mwanafunzi achaguliwe 2ND Selection au huwa inafanyiwa Application?
Kwa njia gani?Unatuma maombi.
Ukitaka kumjibu mtu bonyeza sehemu ya reply kwenye comment yake.
Hapana ndio maana nikasema sawa asantehKwamba nimefanya vibaya kukuelekeza?
Sijawahi kujua hilo
Nenda tu private kama uwezo upo au