Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 62
- 95
Elimu ya chuo kikuu uwasilishaji wake unafanana karibu kila chuo tofauti na secondary schoolsWakuu nimerudi tena Habari za muda
Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy
Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo Cha kigamboni. Nahitaji kujua hiki chuo cha kigamboni hii kozi wanafundisha vizur au vipi ndugu zangu.
Natanguliza shukran za dhat ππ
Hiyo kozi ni mpya kwa hiko chuo ila usiwe na wasiwasi nenda kasome ,muhimu kujiongeza elimu zinafanana kote then ukimaliza njoo nikuajiriπ.Wakuu nimerudi tena Habari za muda