mi nakumbuka enzi zetu, ukiwa primary unajitahidi kujua shule za sekondary, na ukiwa o level unazijua A level nzuri na mbaya
ukiwa A level unakuwa unavijua vyuo vizuri na vibaya
sasa wewe mkuu hadi umeomba, umechaguliwa ndo unataka kujua hizo sifa za hicho chuo