Secret admirer; hii ipo jamani?


Wewe una lako jambo
 

into that field I shall not enter
 
Weekend imeanza Alhamisi ? halafu tunasema hatuendelei ? sasa kama kuchat tu mbona masharti mengi secret,very sharp,mrembo anyway good luck.

mkubwa bongo w'end huanza alhamisi...bado hujajua tu hilo
 
mmmh ok nadhani wamekupata and wata do the neadfull,sasa umesema wa kuchat tu,urembo wa nn hapo?alafu vipi kuhusu vocha utakuwa unaprovide vocha na topic ya kuchat each day?nina mdogo wangu wa 18yrs she is good in chatting lkn sitaki gharama ya kununua vocha.
 
Hahaha! yaani unampeleka swala kwa simba mwenyewe ?
 
Nenda Jolly Club, San Siro, au Ohio, hata Q-bar, wapo wasichana wenye sifa zaidi ya hizo
- warembo,
- wapo sharp,
- wanajua ku-chat
- wapo single
- wanajua kuogelea ngono kwa saaana
- wanaweza kutoa additional service(s)
 
Wewe wa kike kiume?...................................Uko tayari kununua Simu?, Laptop na moderm kwa ajili ya kuchat?
pia allowance kwa muda utakao tumika?
 
haha kwani mrembo ni matusi? mwanamke yoyote ni mrembo tu jamani

Sio matusi ila wewe unataka mtu wa kuchat naye halafu awe mrembo, so inaonekana sisi wabaya tumeshindwa kwenye vigezo
 
Hamna kitu hapa...kuchat na urembo wapi na wapi
 

naomba mnielewe basi waheshimiwa..mrembo maana kubwa nilimaanisha mwanamke! yap vocha atapata tu but si zile za ki-fataki fataki
 
Wewe wa kike kiume?...................................Uko tayari kununua Simu?, Laptop na moderm kwa ajili ya kuchat?
pia allowance kwa muda utakao tumika?

du...!
 
Ungekuwa wazi tu kwa kusema unataka msichana mrembo wa kuchat nae nadhani usingepata maswali mengi kama uyapatayo sasa,hata hivyo bado unatia shaka kutokana na vigezo ulivyoweka kutoendana na hali uitakayo,kuwa wazi na utasaidiwa ukitakacho.
 
asanteni mliojitokeza..nawatakia siku njema
 
Duh, at this age secret lover, utapata phd bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…