secret delight

secret delight

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
wada mnajua kwamba huu mtindo wa kuchat kwa sms siku hizi hasa kwa vijana kuna raha flani hawa vijana wanapata? mara nyingi zimekuwa sms za mapenzi ambapo mawasiliano yale yanakuwa intimate to the xtreme ilhali wanaochat hawafahamiani kabisaa! watu wanazama katika mahaba pepe na kutopea huko sawa tu na yale mahaba ya kawaida. waulizeni wanaochat watawapa majibu
 
Back
Top Bottom