Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
THE LAW OF REPETITION
Hii ni kanuni nyingine muhimu kuweza kujibadilisha; wataalamu wa kale wa kufikiri waligundua hii kitu, mfano waumini wa dini zote from Tao, Budha, Catholic, Muslims ambao wanatumia viti kama rosari, tasbii kufanya recitation ya sala, kusema maneno yale yale kila siku huwa ni watu wenye misimamo na ni ngumu kawabadili imani yao, sambamba ilivyo kwa wayahudi na Talmud;
Kwanini? Unaporudia maneno yale yale kila siku hubadilika na kuingia ndani ya subconscious mind na kuwa imani kali sana:
Hii ni kanuni iliyoongelewa na wataalam wengi wa law of attraction and how to brainwash yourself.
Unaandika what you want in your life anything
- Muhimu uandike katika present tense
-Subconsious mind haifanyi kazi wakati wa past au ujao unachojua ni present time.
- ukishaandika vitu unataka viwe au mabadiliko unayoyataka kwenye maisha yako.
-Yasome kila siku angalau mara tatu.
Hiyo ndiyo Yesu aliita ukiri ulio mwema
-Pengine Yesu akasema unapoomba amini ya kwamba umeshapokea.
-kumbuka sala ya mikate na samaki, Yesu hakulalamika like bwana tazama hawa watu walivyo wengi na tuna samaki wachache na mikate; Nooo alishukuru like kana kwamba tayari ipo mikate na samaki.
-Positive affirmation in a present tense.
-Hii hufanya kazi baada ya siku 21
-Hata kama ni tabia flani unataka kuacha ; au tabia mpya nzuri unataka do it.
Warning:
Kanuni ni kanuni inafanya kazi na it doesn't know what is ethics; use them wisely and in a positive way.
Bonyeza chini kujiunga la whatsap kupata masomo zaidi
JIUNGE KWA LINK HII
Secrets