Secret scenes that are different to observe

Secret scenes that are different to observe

Chagger boy

Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
50
Reaction score
39
Zipo sehemu nyingi kwenye video zilizojificha ambazo zina makosa au zina tupa uhalisia katka kitu flani
Tuanze na
video ya kwanza ambayo ni ya MUNYAMA diamond platnumz ENEKA video hii imeshutiwa na mo mussa ila katka dk yatatu sekunde ya ishirini mpk ishirini na tatu 3:20-23 utaona saa ya diamond ikipanda juu ambacho ni kitu hakiwezekani
Video ya pili ambayo na dondoka nayo kizazi ni video ya rayvanny ft Niki wapili kichupa kinaitwa siri video IPO fresh sana
Ila tunapata sababu kwann (mke kwasababu amezaa naye) mchumba kwasababu ajamuoa wa rayvanny mtu mbay yani fayma anapenda kuvaa mawigi sababu ni hii apaaah! Fayma ni mwanamke aliyejaliwa masikio kuliko sehemu yyt (yani anamasikio makubwa sana) hvy yeye binafsi hapendezwi na kitu hcho hvy huyaficha kutumia hyo njiaa
Ukitaka kuyaona fanya kuisaka video ya siri nenda kwenye dk 3:40-45 utaona ukubwa wa masikio ya bidada huyo
Yangu hayo naukunja mkeka wangu na kuruhusu na ww kusema video yyt ambayo inalogic ndani yake tusio ijuwa
Thanks
 
Sorry wana not different means difficult sorry for that
 
Back
Top Bottom