Sifa za Muombaji:
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Februari, 2023
- Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV
- Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
- Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications
- Awe na umri kati ya miaka 18 - 25
- Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu
- Mshahara utategemea na sifa za Muombaji
- Ni Kampuni binafsi inayojishughulisha na Uagizaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi
- Ina matawi katika Mikoa ya Dsm, Mwanza, Dodoma na Mbeya
- Kampuni inafuata Taratibu zote za Ajira kwa mujibu wa Sheria za Nchi
- Kampuni inakua kwa haraka na ndio sababu kumetokea na uhitaji wa rasilimali watu
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Februari, 2023