Ndugu waeleze vijana .Sifa za Muombaji:
Sifa za Kampuni:
- Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV
- Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
- Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications
- Awe na umri kati ya miaka 18 - 25
- Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu
- Mshahara utategemea na sifa za Muombaji
Kwa yeyote aliye na sifa na utayari wa kujiunga na Kampuni hiyo anakaribishwa kwa mawasiliano zaidi.
- Ni Kampuni binafsi inayojishughulisha na Uagizaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi
- Ina matawi katika Mikoa ya Dsm, Mwanza, Dodoma na Mbeya
- Kampuni inafuata Taratibu zote za Ajira kwa mujibu wa Sheria za Nchi
- Kampuni inakua kwa haraka na ndio sababu kumetokea na uhitaji wa rasilimali watu
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Februari, 2023
Mkuu masalapa, je ni lazima muhusika awe na cheti cha maswala ya secretarial ? Akiwa na degree vipi ?Sifa za Muombaji:
Sifa za Kampuni:
- Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV
- Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
- Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications
- Awe na umri kati ya miaka 18 - 25
- Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu
- Mshahara utategemea na sifa za Muombaji
Kwa yeyote aliye na sifa na utayari wa kujiunga na Kampuni hiyo anakaribishwa kwa mawasiliano zaidi.
- Ni Kampuni binafsi inayojishughulisha na Uagizaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi
- Ina matawi katika Mikoa ya Dsm, Mwanza, Dodoma na Mbeya
- Kampuni inafuata Taratibu zote za Ajira kwa mujibu wa Sheria za Nchi
- Kampuni inakua kwa haraka na ndio sababu kumetokea na uhitaji wa rasilimali watu
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Februari, 2023
Ndio masalapa. Ni vyema utaje jinsia maana vijana wanaweza kuja hadi wa kiume kumbe unataka wa kikzNdugu waeleze vijana .
Uhitaji uko katika mikoa ipi ? Kati ya mikoa tajwa .
Je jinsia zote ?
Ikibidi pia waeleze na masilahi yao .
Hujaeka email au mawasiliano ya namna ya kutuma izo cvSifa za Muombaji: