Secretary cum Customer service.

KGB

Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
52
Reaction score
6
Kampuni mpya Ipo mwenge inatafuta Binti/Mdada kwa ajili ya kuwa Secretary/ambaye ana weza ku handle customer service vema.Mshahara 300,000 Take home,

Awe ame maliza kidato cha nne au zaidi.

awe creative and self motivated.

Awe na uelewa wa kazi/majukumu ya Secretary

Awe smart,Clearn and attention to details.

Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.

Awe na ufahamu wa Huduma kwa wateja.

Awe na Umri usio zidi miaka 30

kwa maelezo zaidi Ni PM niachie namba yako kwa maelezo zaidi.Nafasi hii ita expire tar 12-Feb-2012
 
Vipi Kuhusu Mvuto Maana naona umri umehusika.
 
Asante mkuu kuna huyu ndugu yangu naye anatafuta kazi namba yake 0713293300 au 0767293300 hope utamsaidia...
 
mimi naweza na nimemaliza frm 2004 sina cheti cha secretary bali nina cheti cha IT na busines admistration vyote nimechukulia kenya ila nina exprience ya miaka 3 moja british council na mbili shule za kiislam primary and sekondari nimeolewa miaka 28 nina mtoto mmoja
 
Mh. Asante kwa taarifa hiyo. sikuweza kukuPM kama ulivyoeleza kwa sababu zilizo juu ya uwezo wangu. nimekutumia details zangu kupitia email yako. Samahani kwa usumbufu.
 

namba yangu ya simu 0715713880
 
Angalizo mkuu huyu alimaliza magogoni mambo ya secretarial na amesomea mambo ya computer sana...
 
creteria zipo wazi....Thank you for concern.
 
i wish hii post ingekua ni arusha,bt nawatakia kila la heri kwa atakayepata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…