Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bwana Pompeo amesema Marekani inaweza sisirudi nyuma juu ya uamuzi wake wa kuiondolea ufadhili WHO.
Pompeo anasema haoni sababu ya kutumia pesa za umma kufadhili WHO, shirika ambalo limeshindwa kuzuia usambaaji wa virus vya corona na shirika ambalo limekua laini sana juu ya China.
Pompeo anasema serikali ya Marekani hailiamini tena shirika la WHO na kuanzia sasa watatafta washiriki binafsi na taasisi za kiraia kutoa ufadhili na sio WHO.
Mkuu wa taasisi ya USAID amemuunga mkono Pompeo na kusema sasa watashirikiana kutumia NGOs na sio WHO.
Pompeo says U.S. may never restore WHO funds after cutoff over pandemic