Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
China hana huo uwezo. China ni selfish country. Kaahidi kuisaidia WHO Dollar Million 30 ambazo hata Tanzania tunaweza kutoa.China italipa hiyo deficit ya 500,000,000 USD
Perfect, ni "wachawi"China ni selfish country.
China hana huo uwezo. China ni selfish country. Kaahidi kuisaidia WHO Dollar Million 30 ambazo hata Tanzania tunaweza kutoa.
China hana huo uwezo. China ni selfish country. Kaahidi kuisaidia WHO Dollar Million 30 ambazo hata Tanzania tunaweza kutoa.
Sio kila nchi inaweza mojawapo ni Tanzania. Haiwezi hata ikitaka haitaweza.Hata 500,000,000USD Tanzania au nchi yoyote inaweza kuzitoa ikiamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda China mwaka 5050 lakini siyo China ya sasaChina italipa hiyo deficit ya 500,000,000 USD
Sio kila nchi inaweza mojawapo ni Tanzania. Haiwezi hata ikitaka haitaweza.
ToeniChina hana huo uwezo. China ni selfish country. Kaahidi kuisaidia WHO Dollar Million 30 ambazo hata Tanzania tunaweza kutoa.
Unasemaa!!China hana huo uwezo. China ni selfish country. Kaahidi kuisaidia WHO Dollar Million 30 ambazo hata Tanzania tunaweza kutoa.
Haya ndo madhara ya kujifukiza na malimaoHata 500,000,000USD Tanzania au nchi yoyote inaweza kuzitoa ikiamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
CORONA NGOs sasa kuanzishwa badala ya zile za UKIMWIWaziri wa mambo ya nje wa Marekani Bwana Pompeo amesema Marekani inaweza sisirudi nyuma juu ya uamuzi wake wa kuiondolea ufadhili WHO.
Pompeo anasema haoni sababu ya kutumia pesa za umma kufadhili WHO, shirika ambalo limeshindwa kuzuia usambaaji wa virus vya corona na shirika ambalo limekua laini sana juu ya China.
Pompeo anasema serikali ya Marekani hailiamini tena shirika la WHO na kuanzia sasa watatafta washiriki binafsi na taasisi za kiraia kutoa ufadhili na sio WHO.
Mkuu wa taasisi ya USAID amemuunga mkono Pompeo na kusema sasa watashirikiana kutumia NGOs na sio WHO.
Pompeo says U.S. may never restore WHO funds after cutoff over pandemic
anazo au unabwabwajaChina italipa hiyo deficit ya 500,000,000 USD
sipendi matusi, basi anayebwabwaja ni mama yakounabwabwaja
Thubutuu...Hata 500,000,000USD Tanzania au nchi yoyote inaweza kuzitoa ikiamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu niwie radhi....... wala sikumaanisha jambo I.. very sory.sipendi matusi, basi anayebwabwaja ni mama yako