Section Twenty
Member
- Dec 5, 2018
- 7
- 2
Mkuu naweza kukutumia business profile ya section 20!? Nafikiri itakua na majibu ya maswali yote ambayo umeuliza, na itakutoa shaka pia..Napenda kusajiliwa kampuni na kupewa business consultancy ila nina shaka moja, mbona nyinyi wenyewe hamjasajili kampuni? Section Twenty ni business name tu, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa mtakuwa too theoretical. Would you practise what you preach? Na jinsi business consultancy inavyotaka practical consultant, experience na hands + eyes on nabaki na wasiwasi katika consultancy yenu. Otherwise itakuwa ni 10% commission kisha kazi inafanya kampuni mwingine kitu ambacho kitaongeza cost kwa mteja kwa zaidi ya 10%.
Unaweza kunitoa shaka juu ya hili?
Kampuni mtaji milioni moja, usajili laki tano, hivyo kama mtaji milioni kumi, usajili milioni tano.....akili mukichwaAcha upuuz mkuu,
Usitake kutuharibia siku aisee.
Hiyo ni kampuni ya wapi hiyo uliwahi ona yenye mtaji usiozidi million Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu kichaa hiyo itakuaKampuni mtaji milioni moja, usajili laki tano, hivyo kama mtaji milioni kumi, usajili milioni tano.....akili mukichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kusajiliwa kampuni na kupewa business consultancy ila nina shaka moja, mbona nyinyi wenyewe hamjasajili kampuni? Section Twenty ni business name tu, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa mtakuwa too theoretical. Would you practise what you preach? Na jinsi business consultancy inavyotaka practical consultant, experience na hands + eyes on nabaki na wasiwasi katika consultancy yenu. Otherwise itakuwa ni 10% commission kisha kazi inafanya kampuni mwingine kitu ambacho kitaongeza cost kwa mteja kwa zaidi ya 10%.
Unaweza kunitoa shaka juu ya hili?
Hii bongo hatuwezi kupiga hatua hata kidogo maana simba ni wengi kuliko swala. Wenyewe hawana kampuni halafu wanataka kutoa ushauri kwa makampuni? Hautakuwa practicalNashukuru umeniwahi mkuu, maana nilitaka niyatapike haya. Hawa jamaa me sijawaelewa kabisa, naona kama wanataka cheza na akili za watanzania tu.
"..500k kwa mtaji wa 1m kushuka chini, na vipi kwa mtaji wa M10, itakuwa ni 5m sio?!!!!...."
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa pata potea....theoretically. Wanataka wafanya u-broker, hata kwenye sehemu isiyoitaji broker mechanisms, hii ni hatari sana kwa watanzania.Hii bongo hatuwezi kupiga hatua hata kidogo maana simba ni wengi kuliko swala. Wenyewe hawana kampuni halafu wanataka kutoa ushauri kwa makampuni? Hautakuwa practical
Ni milion 5 mkuuAcha upuuz mkuu,
Usitake kutuharibia siku aisee.
Hiyo ni kampuni ya wapi hiyo uliwahi ona yenye mtaji usiozidi million Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error, ni chini ya milioni 5 sio milion 1Hivi milioni moja hii hii ninayoijua
Ambapo ukizunguka sehemu mbili tu imeisha
Halafu mtu anafungulia kampuni kabisa
Hivi kampuni ya 1m ikoje?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Typing error, ni chini ya milioni 5 sio milion 1Nashukuru umeniwahi mkuu, maana nilitaka niyatapike haya. Hawa jamaa me sijawaelewa kabisa, naona kama wanataka cheza na akili za watanzania tu.
"..500k kwa mtaji wa 1m kushuka chini, na vipi kwa mtaji wa M10, itakuwa ni 5m sio?!!!!...."
Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error, ni chini ya milioni 5 sio milion 1mmh.sasa mbona nusu ya mtaji mnachukua?πππ
Oya jibu CRB mnasajili au mnaishia BRELA tu??HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Annual Return - Brela
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: 0778437201
WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA
Ushauri ni Bure... By Team Solution Consultation
Sent using Jamii Forums mobile app