Naona English ni big problems
Mbona inakuuma sana mkuuAchen kujpa moyo kba ata akvunja record ya mess amna atakaye jua zaid ya East Africa tu [emoji23][emoji23][emoji23]Co maaarufu kvile Africa izo juhud mnazo make kum kuza n bora mkaz amishia kwa Vanessa Mdee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni tatizo...kwa uandishi huu ni tatizo kubwa sanaNaona English ni big problems
Mbona povuuu...nini kimekuuma mkuu..kosa gani limefanyikaUxenge tu, mnachofanya ni sawa na jaribio la kuhuisha mfu kitu ambacho hakijawahi fanikiwa popote ulimwenguni.
Google translate to help me describe how clown and moron you are or what maybe?