Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

HIVI MNAPOSEMA "DUNIANI NA AFRICA" ILI HALI KUNA MWANADADA TAYLER SWIFT AMBAYE ANA KICHUPA CHA "LOOK WHA YOU MADE ME DO" CHENYE VIEWS MILIONI 120+ TUWAELEWEJE? acheni kufabricate news.
Hapa inaongelewa Itunes wewe unaleta habari za Youtube...

Huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hiyo ni itune kenya! Ss niambie IMEVUNJAJE RECODI YA DUNIA NA AFRICA!?? Acha UKANJANJA mkuu

Ugiligili
 
Duniaaa. Heee

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Achen kujpa moyo kba ata akvunja record ya mess amna atakaye jua zaid ya East Africa tu [emoji23][emoji23][emoji23]Co maaarufu kvile Africa izo juhud mnazo make kum kuza n bora mkaz amishia kwa Vanessa Mdee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wafuta vumbi buti za mond mnamatatizo sana. Mpeni sifa Kiba utimu mnakua kama vichaa mbona sie tunampa sifa Dimond. Yani kujielewa raha sana. Yani tanzania bana siasa ni chuki mziki ni chuki sijui ndo nini
 


Mkuu hizi ndizo chart za nyimbo itunes duniani.
Nimejaribu search hata Africa sijaona kitu kama hicho unaweza tupua screenshot toka itunes kwenyewe mkuu
 
Hizi porojo sometimes mpeleke vijiweni maana mpaka aibu kuleta kwa JF .
 
Tatizo celebs watanzania huwa wanafake almost everything. Wanafake life, wanafake statistics za mauzo, mapato , financial status kwa ujumla. Sasa kwa miaka hii kupitia social media kumeanza tatizo la fake fan base......yaani unakuta watu wanaojiita fans in reality sio fans ila ni lkajigroup ka promotion crew ambao unaweza kuta mtu m'moja ana account za social media zaidi ya 50 na anazitumia kupost fake remarks na pongezi jambo ambalo back in them days halikuwapo.

Leo kuna watu wanaofanya mziki serious lakini wanakwamishwa kwasababu ya hii michezo ya mashindano ya kipuuzi na ambayo haipo kwa lengo la kujenga mziki wa tanzania wa kisasa.

Tazama wasanii kama akina Ben paul, joh makini, g nacko, vanessa mdee, Rama D, na wengineo ambao wanafanya mziki serios ambao unavionjo vya mziki bora wanapuuzwa sababu ya hawa vikaragosi ambao wamegeuza muziki kuwa ligi za simba na yanga ambazo zimejawa na vibweka na kila aina ya ushambeka na mzaha kiasi kwamba dira ya mziki inapotezwa taratibu.

Me ndio maana now days wala sihangaiki kusikiliza hawa fake streamed artists, nakomaa na nyimbo zangu za longi R&B za mbele za miaka ya 1990's na early 2000's, kipindi ambapo nyimbo inayotengenezwa studio na akina Shawn Combs(Puff Daddy),akina Tim& Bob inakuwa ni nyimbo yenye virutubisho na vitamini zote za kurutubisha mwili na akili na kukuweka sawa kisaikolojia.

Nyie bakini na hawa ma'fake ass Stupid celebs mnaowapa kiki za kiboya na kuacha kufanya real music culture......


SONY Xperia Z5 Premium
 
  • Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes
  • Mwana yaibuka kwenye kumi bora duniani
  • Seduce me yawa number one duniani na pekee Africa King Kiba akifunika Africa nzima
Seven Mosha ndo sourci yako????
Huu wimbo kwa kweli bado sana kwangu, hasa hsa anapopiga ile 'yoooooooooo!!!', na ile 'i go ba the name kiba!', inakata sana stimu! Na pia ile anaposema what a hell kuna vijimaneno anaweka pale 'aaaaahhhhaaa dadaaaaa', ni kichefuchefu!
No offence!
 
Hata usiposikiliza unafikiri kuna mtu unamkomoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…