SEE THIS. .Kwenye eligibilty nina NO mbili YES tatu nitapata chuo kweli?

SEE THIS. .Kwenye eligibilty nina NO mbili YES tatu nitapata chuo kweli?

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
1. Banking & finance IFM YES 2.Acountant IFM YES 3.procurement & logistic TIA NO 4.Acountant TIA NO 5.Agribusines SUA YES
 
1. Banking & finance IFM YES 2.Acountant IFM YES 3.procurement & logistic TIA NO 4.Acountant TIA NO 5.Agribusines SUA YES
Wahi ukabadilishe hizo ulizowekewa NO....deadline si ni leo?
 
comb gan umesoma na matokeo yako? ili tukupe mawazoo yetu plz!!!!
 
nimesoma hge nina E flat yani 3 ya 15 Gs f bam f sema nina C ya hesabu O level.

Kwa TIA huwezi kupata kwani wanahitaji minimum cutoff point 3.5 wakati wewe una 3. badilisha programs haraka kabla ya leo saa 6 usiku kwani TCU hawatashughulika na program yenye NO. Unaweza kuangalia hata UDOM kwani wameshusha cutoff point kwa zote kuwa 2.5 isipokuwa Doctor of medicine, Nursing na B.Sc in nursing - midwife.
 
1. Banking & finance IFM YES 2.Acountant IFM YES 3.procurement & logistic TIA NO 4.Acountant TIA NO 5.Agribusines SUA YES

utapata coz we umesma hge a'level na c ya math o'level itakubeba coz ujue hata watu wa HGL HKL na HGK wameomba hzo koz, so hawawez kucompete na ww ingawa wao cutt pnt zao kubwaa! Ila kwa ushaur zaid unaweza chek na udom coz wamepungza cutt pnt zao up to 2.5
 
1. Banking & finance IFM YES 2.Acountant IFM YES 3.procurement & logistic TIA NO 4.Acountant TIA NO 5.Agribusines SUA YES

unaweza kupata coz we umesma hge a'level na c ya math o'level itakubeba coz ujue hata watu wa HGL HKL na HGK wameomba hzo koz, so hawawez kucompete na ww ingawa wao cutt pnt zao kubwaa! Ila kwa ushaur zaid unaweza chek na udom coz wamepungza cutt pnt zao up to 2.5
 
Ahsanteni sana ila udom si education sina mpango wa kua ticha wakubwa.
 
Brazaaah hii ni kwa walitoka 6 direct ryt ndo unakuta mambo ya yes na no....!!??
 
jaza vyuo vilivyo na point zako ziendane ngekushauri uchukue na education incase of emegence
 
Mi nina tatizo km lako bt kila nikiongeza chuo inaandikwa NO,NB:mi nina cut of point 5 nimeamua kutulia2 coz hata vyuo vinavyohitaji 2.5 wananikataa?
 
Back
Top Bottom